Menu ya vifurushi vya Airtel, Tigo, Halotel, Vodacom & Zantel

Menu ya vifurushi vya Airtel, Tigo, Halotel, Vodacom & Zantel | Furahia kustrimu mtandaoni ukiwa na Intaneti yenye kasi babkubwa na GB za kutosha. Piga *149*99# Chagua kifurushi chako pendwa kutoka Airtel na uendelee kula burudani kiganjani mwako! #HamiaAirtel ufaidi.

Maokoto yasikukoseshe pointi tatu muhimu wakati wa siku ya wapendanao❤️. Fanya malipo na Airtel Money uongezewe kiasi kilichopungua kwenye miamala yako kupitia Mkopo wa Kamilisha, Mkopo wa kamilisha unasoti bill zako chap chap. Piga *150*60#

Menu ya vifurushi vya Airtel, Tigo, Halotel, Vodacom & Zantel

Menu ya vifurushi vya Airtel, Tigo, Halotel, Vodacom & Zantel

Airtel Menu

Vifurushi – *149*99#
Airtel Money – *150*60#

Tigo Menu

Maisha ni kujipanga! Anza kuweka akiba kisasa na kidigitali kuanzia leo na Tigo Pesa Kibubu upate gawio kila mwezi. Piga *150*01# au Tigo Pesa App kwa kupakua sasa

Vifurushi – *147*00#
TigoPesa – *150*01#

Vodacom Menu

Vifurushi – *149*01#
M-Pesa – *150*00#
Mkopo wa pesa – Piga ***44# Kujiunga

Zantel Menu

See also:

  1. Jinsi ya Kuangalia na Kulipa Deni la Gari Trafiki
  2. Jinsi ya kuangalia deni la gari kwa simu
  3. Jinsi ya kujiunga na bima ya afya NHIF
  4. Jinsi ya kujiunga na JKT 2024/2025