Mishahara ya TRA
Mishahara ya wafanyakazi wa TRA – Fomu ya taarifa za mishahara na makato ya ofisa forodha msaidizi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Jennifer Mushi imeonyesha kuwa mshahara wake ulibadilika katika kipindi cha miaka mitano kuanzia 2011 hadi 2016.
Hayo yalisemwa jana na Kaimu mkurugenzi wa fedha wa TRA, Anna Mrema alipokuwa akiongozwa na mwanasheria mkuu wa Serikali, Vitalis Peter kutoa ushahidi wake mbele ya hakimu mkazi mkuu wa Mahakama ya Kisutu, Huruma Shahidi.
Mishahara ya wafanyakazi wa TRA 2024, Mrema alidai mwaka 2016, TRA ilipokea barua kutoka Takukuru ikimuelekeza mkurugenzi wa fedha kutoa taarifa za mshahara wa Jennifer kuanzia Julai 2011 hadi Machi 2016.
Mishahara ya wafanyakazi wa TRA 2024
Shahidi huyo ambaye aliajiriwa na TRA mwaka 1999, alidai kuwa baada ya kuingia kwenye mfumo wa malipo, aliripoti mshahara wa Jennifer uliokuwa ukiongezeka kutoka Sh800,000 hadi Sh1.2 milioni.
Baada ya maelezo hayo, shahidi huyo aliahirisha kesi hiyo hadi Julai 4 itakapoendelea na mshtakiwa yuko nje kwa dhamana.
See also:
- Viwango vya Mshahara ya Walimu 2024
- Zijue Frequency za Redio Crown FM Tanzania Bara na Zanzibar
- Dube Afichua Mahovu ya Uongozi wa Azam FC
- TETESI ZA USAJILI: Dube anukia Jangwani
- Jinsi ya kuangalia deni la gari online 2024
- Ratiba ya Klabu Bingwa Robo fainali 2023/2024 CAF
- Alikiba azindua kituo cha redio inaitwa ‘Crown FM’
Leave a Reply