Msimamo Ligi Kuu Zanzibar 2023/2024 PBZ

2023/2024 PBZ Premier League Table

Msimamo Ligi Kuu Zanzibar 2023/2024 PBZ – Ratiba ya Zanzibar PBZ Premier League 2023/2024, Ratiba ya Ligi Kuu Zanzibar 2023-24 PBZ. Ligi kuu ya Zanzibar iliyoanzishwa mwaka 1926 ndiyo ligi kuu ya soka visiwani Zanzibar, inayosimamiwa na Shirikisho la Soka Zanzibar visiwani Zanzibar, Tanzania.

Kwa sasa ligi hiyo inajulikana kwa jina la PBZ Premier League, kutokana na makubaliano ya udhamini na PBZ BANK. Ina timu 18 zinazoshindana, huku KMKM ikiwa ndio bingwa mtetezi wa msimu wa 2022/23, ikiwa imeshinda taji la ligi iliyopita.

Msimamo Ligi Kuu Zanzibar 2023/2024 PBZ

Msimamo Ligi Kuu Zanzibar 2023/2024 PBZ
Msimamo Ligi Kuu Zanzibar 2023/2024 PBZ

See also: