MSIMAMO wa UEFA Champions League 2024/2025

MSIMAMO wa UEFA Champions League 2024/2025 | Mashindano ya kuanzia msimu wa mwaka 2024/2025 yatahusisha timu 36, idadi ya timu nne ikiwa imeongezeka kutoka 32 za awali. Timu nne zinatoka wapi?

Timu nne zilizoongezeka zitachujwa katika vigezo vikuu vitatu:

1:- Timu ya 3 katika msimamo wa ligi ambayo nchi yake inashika nafasi ya 5 kwenye viwango vya ubora vya Uefa itakwenda moja kwa moja kushiriki (awali ligi ya 5 kwa ubora ilikua inapeleka timu 2 direct) 2:- Ligi ambazo timu zake zitakua na wastani bora wa uwakilishi kwa mwaka mmoja wa nyuma wa mashindano kwa kuzingatia idadi ya timu ukigawanya na idadi ya alama za Uefa zitaongezewa nafasi moja (ligi mbili)

3:- Awali timu 4 zilikua zikifuzu kutoka katika raundi za awali za michuano hii ya Uefa ila kuanzia 2024/25 zitakua zinafuzu timu 5 kuungana na 31 zitakazokuwa zimeingia moja kwa moja.

MSIMAMO wa UEFA Champions League 2024/2025

kutakuwa na Msimamo mmoja wa timu 36 ambazo kila timu itacheza mechi 8 (4 nyumbani 4 ugenini) Timu ambazo zitashika kuanzia nafasi ya 1-8 zitakwenda moja kwa moja kwenye hatua ya 16 bora, timu ambazo zitashika nafasi ya 9-24 zitacheza mechi za mtoano kupata timu 8 nyengine zitakazokwenda hatua ya 16 bora.

# Team M. W D L Dif. Pt.
1 AC Milan, Italy AC Milan 0 0 0 0 0 0
AC Sparta Praha, Czech Republic AC Sparta Praha 0 0 0 0 0 0
Arsenal FC, England Arsenal FC 0 0 0 0 0 0
AS Monaco, France AS Monaco 0 0 0 0 0 0
Aston Villa, England Aston Villa 0 0 0 0 0 0
Atalanta, Italy Atalanta 0 0 0 0 0 0
Atlético Madrid, Spain Atlético Madrid 0 0 0 0 0 0
Bayer Leverkusen, Germany Bayer Leverkusen 0 0 0 0 0 0
Bayern München, Germany Bayern München 0 0 0 0 0 0
Bologna FC, Italy Bologna FC 0 0 0 0 0 0
Borussia Dortmund, Germany Borussia Dortmund 0 0 0 0 0 0
BSC Young Boys, Switzerland BSC Young Boys 0 0 0 0 0 0
Celtic FC, Scotland Celtic FC 0 0 0 0 0 0
Club Brugge KV, Belgium Club Brugge KV 0 0 0 0 0 0
Crvena Zvezda, Serbia Crvena Zvezda 0 0 0 0 0 0
Dinamo Zagreb, Croatia Dinamo Zagreb 0 0 0 0 0 0
FC Barcelona, Spain FC Barcelona 0 0 0 0 0 0
Feyenoord, Netherlands Feyenoord 0 0 0 0 0 0
Girona FC, Spain Girona FC 0 0 0 0 0 0
Inter, Italy Inter 0 0 0 0 0 0
Juventus, Italy Juventus 0 0 0 0 0 0
Lille OSC, France Lille OSC 0 0 0 0 0 0
Liverpool FC, England Liverpool FC 0 0 0 0 0 0
Manchester City, England Manchester City 0 0 0 0 0 0
Paris Saint-Germain, France Paris Saint-Germain 0 0 0 0 0 0
PSV Eindhoven, Netherlands PSV Eindhoven 0 0 0 0 0 0
RB Leipzig, Germany RB Leipzig 0 0 0 0 0 0
RB Salzburg, Austria RB Salzburg 0 0 0 0 0 0
Real Madrid, Spain Real Madrid 0 0 0 0 0 0
Shakhtar Donetsk, Ukraine Shakhtar Donetsk 0 0 0 0 0 0
SL Benfica, Portugal SL Benfica 0 0 0 0 0 0
Slovan Bratislava, Slovakia Slovan Bratislava 0 0 0 0 0 0
Sporting CP, Portugal Sporting CP 0 0 0 0 0 0
Stade Brestois 29, France Stade Brestois 29 0 0 0 0 0 0
Sturm Graz, Austria Sturm Graz 0 0 0 0 0 0
VfB Stuttgart, Germany VfB Stuttgart 0 0 0 0 0 0
MSIMAMO wa UEFA Champions League 2024/2025
MSIMAMO wa UEFA Champions League 2024/2025

✍Idadi ya mechi itaongezeka na kufika mpaka mechi 189 mpaka hatua ya fainali kutoka mechi za awali 125.

ANGALIA PIA: