PRE-SEASON: Simba Kuweka Kambi Misri 2024/2025

PRE-SEASON: Simba Kuweka Kambi Misri 2024/2025, Ahmed athibitisha Simba watakapoweka kambi ya Pre Season 2024/2025, Simba Kuweka Pre Season nchini Misri 2024/2025, Simba Kuweka Pre Season 2024/2025 nchini Misri.

Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu, Ahmed Ally ameweka wazi tarehe rasmi ya kuanza maandalizi ya msimu (Pre Season) pamoja na suala la usajili. Ahmed amesema kuwa Simba Sc itaweka kambi nchini Misri kwaajili ya maandalizi ya msimu mpya wa 2024/2025.

Aidha Wachezaji wataanza kuripoti wiki ya kwanza ya mwezi ujao (Julai) tayari kwa Pre Season.

PRE-SEASON: Simba Kuweka Kambi Misri 2024/2025
PRE-SEASON: Simba Kuweka Kambi Misri 2024/2025

PRE-SEASON: Simba Kuweka Kambi Misri 2024/2025

Ahmed amesema timu itaondoka nchini ikiwa kamili kuanzia benchi la ufundi, uongozi na wachezaji wote ambao watakuwa wamesajiliwa kwa ajili ya 2024/25

Aidha amesema kuwa Simba itaweka kambi katika moja ya Hotel maarufu ambayo imetimiza mahitaji yote ya pre-season. Tazama Video hii hapa nchini mpaka mwisho Ahmed amezungumzia pia kuhusu aina ya usajili ambayo klabu ya Simba imepanga kufanya.

SEE ALSO: