RATIBA ya CAF Klabu Bingwa Afrika 2024/2025 | Shirikisho la mpira barani Africa CAF limetangaza ratiba ya awali ya michuano ya Klabu Bingwa Afrika kwa msimu wa 2024/2025. Timu za Tanzania zinazoshiriki, Young Africans (Yanga) na Azam FC, zimepangiwa mechi za kuvutia katika hatua ya kwanza ya mchujo.
Mechi za awamu ya kwanza ya awali ya Ligi ya Mabingwa ya CAF ya 2024/25 ya TotalEnergies zilifanyika wikendi hii, huku kukiwa na mashindano kadhaa ya kuvutia barani kote.
RATIBA ya CAF Klabu Bingwa Afrika 2024/2025
Ifuatayo ni ratiba na matokeo ya hivi punde ya mechi hizo/RATIBA ya CAF Klabu Bingwa Afrika 2024/2025:
Sunday 22/09/2024 | 17:30 Sagrada Esperança vs Enugu Rangers
Friday 20/09/2024 – 20:00 | Belouizdad vs Douanes
Saturday 21/09/2024 | 16:00 TP Mazembe vs Red Arrows
Saturday 21/09/2024 | 18:00 Petro de Luanda vs Maniema Union
Saturday 21/09/2024 | 19:00 Orlando Pirates vs Galaxy
Saturday 21/09/2024 | 19:00 Mamelodi Sundowns vs Mbabane Swallows
Saturday 21/09/2024 | 19:00 Al Ahly vs Gor Mahia
Saturday 21/09/2024 | 20:30 Young Africans vs Ethiopia Nigd Bank
Saturday 21/09/2024 | 21:00 ES Tunis vs Dekedaha
Saturday 21/09/2024 – 21:00 | Pyramids vs APR
Saturday 21/09/2024 | 22:00 MC Alger vs Monastir
Saturday 21/09/2024 | 22:00 Raja Casablanca vs Samartex
Sunday 22/09/2024 – 19:00 | ASKO de Kara vs Djoliba
Sunday 22/09/2024 | 19:00 Milo vs Stade d’Abidjan
Sunday 22/09/2024 | 21:00 FAR Rabat vs Al Merreikh
Sunday 22/09/2024 | 22:00 Al Hilal Omdurman vs San-Pédro
ANGALIA PIA:
Leave a Reply