RATIBA ya Nandy Festival 2024, List ya Wasanii

RATIBA ya Nandy Festival 2024, List ya Wasanii | Tayari wakazi wa Mkoa wa Kigoma wamejindaa na ujio mpya wa Nandy Festival 2024 ambapo kwa mwaka huu Kigoma ndio mkoa wa kwanza na show hiyo itafanyika katika Viwanja vya Mwanga Community center siku ya tarehe 7 ya mwezi huu kwa kingilio cha shiingi elfu Tano getini.

Siku ya jana Mwimbaji Star Nandy ametambulisha list ya awali ya wasanii watakao perform katika festival ambapo List hiyo imetawaliwa na wasanii wakike watakao nogesha Burudani wa kiongozwa na yeye mwenyewe

RATIBA ya Nandy Festival 2024, List ya Wasanii

RATIBA ya Nandy Festival 2024, List ya Wasanii

Nandy na Lulu Diva, Frida Amani, Anjela, Yummy, Shilole, Baba Levo, Chino, Marioo na Whozu.

ANGALIA PIA: