Ratiba ya Ndondo Cup 2024, Matokeo na Msimamo Makundi

Ratiba ya Ndondo Cup 2024, Matokeo na Msimamo Makundi | MCHEZO wa Ufunguzi wa Ndondo Cup 2024: Manzese Warriors Kupambana na Makuburi Leo Jumamosi

Mchezo wa ufunguzi wa michuano ya Ndondo Cup 2024 unafanyika leo Jumamosi kwenye Uwanja wa Kinesi, ambapo timu ya Manzese Warriors itashuka dimbani dhidi ya Makuburi. Michuano hii maarufu inatarajiwa kuvutia mashabiki wengi kutokana na ushindani na burudani inayotolewa na timu zinazoshiriki.

Manzese Warriors na Makuburi zote zitaingia uwanjani zikiwa na lengo moja tu, kushinda mchezo huu wa kwanza na kuanza michuano kwa kishindo. Mashabiki wa soka wanatarajiwa kujitokeza kwa wingi kuunga mkono timu zao na kufurahia burudani ya soka safi kutoka kwa wachezaji wa pande zote mbili. Ndondo Cup 2024 inaahidi kuwa na msimu mwingine wa kusisimua, na mchezo wa leo ni mwanzo tu wa kile kinachoonekana kuwa michuano ya kufurahisha na yenye ushindani mkubwa.

Ratiba ya Ndondo Cup 2024, Matokeo na Msimamo Makundi

KUNDI A

Azimio FC
Bullet Force
Makuburi FC
Manzese Warriors

  • 30 June 2024: 9:00 Jion – Manzese Warriors vs Makuburi FC

KUNDI B

Mask FC
Tesla FC
Uruguay Fans
Warriors FC

KUNDI C

Mabibo Market
Mshikamano Talent
Tandika City
Temeke Manispaa

KUNDI D

Enjoy Soccer
Kauzu FC
Kibangu Rangers
Mabibo Stars

Ratiba ya Ndondo Cup 2024, Matokeo na Msimamo Makundi

KUNDI E

Bahari FC
GOMS United
Keko Furniture
Msisiri United

KUNDI F

Bado Poa
KRS Talanta
Lamacia FC
Weekend Team

KUNDI G

Home Team
Mwandaliwa FC
Rajaa FC
Sinza Stars

KUNDI H

DAR Stars
Madenge FC
Magomeni Kombain
Soccer City

SEE ALSO: