Ratiba ya Robo Fainali CAF Leo

Ratiba ya Robo Fainali CAF Leo

Ratiba ya Robo Fainali CAF Leo – Ratiba ya robo fainali caf champions league 2023 2024 schedule, Ratiba ya robo fainali caf champions league 2023 2024 results, Ratiba ya robo fainali caf champions league 2023 2024 date, Ratiba ya robo fainali caf champions league 2023 2024 draw.

Klabu ya Simba imepangwa kukutana na Al Ahly ya Misri wakati Yanga ikipangwa kukutana Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini katika michezo yao ya Robo Fainali Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu wa 2023/2024.

Ratiba ya Robo Fainali CAF Leo, Simba na Yanga wote wataanzia mechi zao nyumbani na kumalizia ugenini.

Mechi za mkondo wa kwanza zitapigwa kati ya Machi 29-31 na mechi za marudiano zitapigwa kati ya Aprili 5 na 6, 2024.

Ratiba ya Robo Fainali CAF Leo

Mzunguko wa kwanza

March 29-2024 CAF Champions League Quarter-Final · Leg 1 of 2
21:00 Simba SC vs Al Ahly

March 30-2024 CAF Champions League Quarter-Final · Leg 1 of 2
16:00 TP Mazembe vs Petro Atletico
21:00 Young Africans vs Mamelodi Sundowns

March 31-2024 CAF Champions League Quarter-Final · Leg 1 of 2
00:00 Esperance vs ASEC Mimosas

See also: