Sifa ya Kujiunga na JWTZ 2024

Jeshi la Wanachi la Tanzania (JWTZ)

Vigezo na Sifa ya Kujiunga na JWTZ 2024 | JWTZ News, Tofauti ya jkt na jwtz, Majina ya waliochaguliwa JWTZ 2023 download, JWTZ mafunzo, TPDF Tanzania website, Jinsi ya kujiunga na JKT, Vigezo na sifa za kujiunga na jwtz 2023 2024 download, Jwtz vyeo na Mishahara, Majina ya waliochaguliwa kujiunga na jwtz 2023 pdf, nafasi za kujiunga na jkt 2023/2024, Majina ya waliochaguliwa JWTZ 2023/24, Kambi za JWTZ Tanzania.

Sifa ya Kujiunga na JWTZ 2024: Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) lilianzishwa tarehe 01 Septemba 1964 kwa lengo la kulinda uhuru wa nchi na mipaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Mbali na lengo hilo, majukumu mengine ya msingi ya JWTZ ni pamoja na;

  1. Kulinda Katiba na Uhuru wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
  2. Ulinzi wa Mipaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
  3. Kuendesha Mafunzo na Mazoezi ya Kuwa Tayari Kupambana wakati wote.
  4. Kufundisha umma shughuli za Ulinzi wa Taifa.
  5. Kushirikiana na Mamlaka za Kiraia katika kutoa misaada ya kibinadamu na uokoaji wakati wa majanga.
  6. Kukuza elimu na uzalishaji wa kujitegemea kupitia Jeshi la Kujenga Taifa (JKT).
  7. Kushiriki katika shughuli za Kimataifa za Ulinzi wa Amani.

Sifa ya Kujiunga na JWTZ 2024

Uandikishaji

Mtu yeyote ataandikiwa kujiunga na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kwa sifa zifuatazo: –

  1. Awe raia wa Tanzania
  2. Awe na Elimu ya kidato cha nne kuendelea na awe amefaulu..
  3. Awe hajaoa/hajaolewa
  4. Awe na umri kuanzia miaka 18 hadi 25
  5. Awe na tabia na mwenendo mzuri
  6. Awe na akili timamu na afya nzuri
  7. Masharti ya Utumishi
  8. Askari atapewa nambari ya utumishi baada ya kufaulu mafunzo ya awali.

Atalitumikia Jeshi kwa kipindi cha mwanzo cha miaka sita, baada ya hapo atafanya kazi kwa mkataba wa miaka miwili miwili kwa kibali cha Mkuu wa Majeshi.

Maafisa

Bodi ya Uteuzi wa Maafisa (Bodi ya Uteuzi wa Maafisa) huwafanyia usaili Askari wenye elimu ya kidato cha sita kuendelea kuendelea Vikosini na Shule za Askari wapya (Recruitment Schools).

Watakaofaulu masailiano hayo hupewa hadhi ya Afisa Mwanafunzi (Officer Cadet), na hupelekwa Chuoni (Tanzania Military Academy) kwa mafunzo ya Uafisa kwa muda wa mwaka mmoja/Sifa ya Kujiunga na JWTZ 2024.

Vijana wengi wamekuwa wakitamani kujiunga na JWTZ lakini hawajui njia sahihi wanazopaswa kuzipitia ili kuweza kutimiza ndoto zao ambapo hali hiyo inasababisha kuwepo kwa matapeli wengi. Matapeli hao wanatumia kigezo cha watu kutojua kujiunga na JWTZ ili kuwatapeli wakisema wanaweza kuwasaidia.

Sifa ya Kujiunga na JWTZ 2024

Mbali na hilo, vijana hao pia hawajui sifa za mtu anayeweza kukubalika kujiunga na JWTZ. Wengi wamekata tamaa wakiamini hawana sifa za kufanya hivyo, na wengine wanatapeliwa wanapoahidiwa kusaidiwa wakati hawana sifa za kujiunga na JWTZ.

Sifa za Kujiunga na JWTZ Tanzania 2023

  • Kuwa raia wa Tanzania
  • Awe na elimu ya kidato cha nne aendelee na afaulu.
  • Uwe mseja/usiolewe
  • Anapaswa kuwa kati ya miaka 18 na 25
  • Anapaswa kuwa na tabia na mwenendo mzuri
  • Awe na akili timamu na afya njema

Masharti ya Huduma Mwanajeshi atapewa nambari ya huduma baada ya kupita mafunzo ya awali. Atalitumikia Jeshi kwa kipindi cha awali cha miaka sita, na baada ya hapo atafanya kazi kwa mkataba wa miaka miwili kwa idhini ya Mkuu wa Majeshi.

See also: