Simba Kapangwa Kundi A Kombe la Shirikisho CAF 2024/2025

Simba Kapangwa Kundi A Kombe la Shirikisho CAF 2024/2025 | Baada ya Droo ya makundi kufanyika leo kwa msimu huu wa 2024-2025. Klabu ya SImba SC ya Tanzania imepangwa kundi A lenye timu za CS Sfaxien, CS Constantine na FC Bravos Do Maquis.

Simba Kapangwa Kundi A Kombe la Shirikisho CAF 2024/2025

Mechi za hatua ya makundi za kombe la shirikisho zinategemea kuaza rasimu kuazia mwezi wa 11 tarehe 26, 2024.

ANGALIA PIA: