Taarifa Muhimu Kwa Walioomba Ajira za Walimu 2024 Ajira Portal

Taarifa Muhimu Kwa Walioomba Ajira za Walimu 2024 Ajira Portal | Taarifa Muhimu Kwa Waombaji Wote wa Ajira za Walimu 2024. TAMISEMI, Ajira Mpya za Walimu Tamisemi September 2024, Ajira Mpya za walimu Tamisemi 2024, Ajira Mpya za walimu serikalini 2024, Tamisemi Ajira Mpya za walimu 2024, Government Jobs Opportunities Various Regions, Ajira Mpya UTUMISHI 2024, Nafasi Za Kazi Serikalini 2024, TAMISEMI Teachers Government Jobs 2024 | TAMISEMI Ajira Za Walimu 2024, Ajira za Walimu Serikalini 2024, TAMISEMI Ajira Za Walimu 2024, Teachers Jobs TAMISEMI 2024, Teachers Jobs TAMISEMI 2024

Taarifa Muhimu Kwa Walioomba Ajira za Walimu 2024 Ajira Portal

Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, inapenda kuwajulisha wale Wote walioomba kazi za ualimu katika mikoa mbalimbali wamepewa siku tatu kuanzia tarehe 14 hadi 16 Septemba, 2024 kuhuisha taarifa zao za Mkoa ulioomba kufanya kazi. katika mfumo wa Tovuti ya Ajira ikiwa inasomeka tofauti na Mkoa ambao ungependa kufanya kazi.

Aidha, hakikisha Mkoa unaosomwa katika eneo la “Mwajiri” ndio ulioomba uasherati ikiwa ni tofauti unapaswa kuubadilisha katika mfumo kwa sababu sehemu hii ndiyo itapelekea kupangiwa Kituo cha Usaili na hatimaye kupangiwa kituo cha kazi.

Taarifa Muhimu Kwa Walioomba Ajira za Walimu 2024 Ajira Portal
Taarifa Muhimu Kwa Walioomba Ajira za Walimu 2024 Ajira Portal

Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma ni sikivu, imesikia maombi Hivyo, imetoa siku tatu tu kuhuisha taarifa zako. Changamoto hii imejitokeza wakati wa kuomba kazi ambapo waombaji wengi walijazwa taarifa zao na ndugu, jamaa na hata wafanyakazi wa ‘stationaries’ na hukupata nafasi ya kuhakiki kilichojazwa ni sahihi.

Kutokana na changamoto hiyo, ofisi inasisitiza waombaji kazi kuwa makini wakati wote wanapojaza taarifa katika mfumo wa Ajira Portal na kuangalia taarifa zao ili kuepuka usumbufu.

Notisi Muhimu Kwa Waombaji Kazi Wa Walimu | Kwa habari zaidi Notisi Muhimu kwa Waombaji Kazi wa Walimu waambatishe faili ya PDF hapa chini:

ANGALIA PDF

ANGALIA PIA: