Taifa Stars dhidi ya Congo Kufuzu AFCON, Tanzania Kujua Hatima Yake

Taifa Stars dhidi ya Congo Kufuzu AFCON, Tanzania Kujua Hatima Yake | Ratiba ya Taifa Stars ‘Tanzania National Team’ kwenye michezo ya kufuzu mashindano ya CAF ya ngazi ya Taifa AFCON 2025.

Baada ya michezo miwili ya Tanzania kwenye kampeni ya kufuzu AFCON kwa mara nyingine walifanikiwa kuibuka na ushindi kwenye mchezo mmoja dhidi ya Guine na kutoa sare mchezo zidi ya Ethiopia.

Sasa TFF kupitia idara ya hamasa kwa timu ya taifa ya Taifa stars wanarudi na kampeni ya kufuzu kupitia michezo miwili dhidi ya Congo DR, hatima ya Taifa Stars kwenye kufuzu msimu wa AFCON 2025 Morocco upo kwenye mikono ya Timu ya Taifa ya Congo ambapo michezo yote miwili imepangwa kuchezwa ndani ya mwezi wa October mwakwa huu 2024.

Taifa Stars dhidi ya Congo Kufuzu AFCON, Tanzania Kujua Hatima Yake
Taifa Stars dhidi ya Congo Kufuzu AFCON, Tanzania Kujua Hatima Yake

Kupitia michezo hii Taifa Stars imepanga uvuna alama zote sita ili kufikisha alama 10 zitakazo wapa tiketi ya moja kwa moja ya kufuzu kwenda AFCON 2025.

Je? Kampeni hiyo itafanikiwa, nini maoni yako kwenye suala hili na kipi kifanyike timu ya taifa ya Tanzania ifuzu kwenda AFCON.

ANGALIA PIA: