TETESI ZA USAJILI Prince Dube kwenda Yanga

TETESI ZA USAJILI Prince Dube kwenda Yanga | PRINCE DUBE siku ya jana ameweka kiasi cha dola 200,000 za Kimarekani kwenye account ya Benki ya AZAM FC ikiwa ni sehemu ya kutekeleza vifungu vya kimkataba (Termination Clause) ili aweze kuondoka huku deni lilosalia inakadiriwa kuwa ni dola 100,000 za Kimarekani na anapaswa kumalizia ingawa bado haijafahamika kwa mujibu wa chanzo changu kama watamruhusu aende kisha atamalizia deni baadae, ‘busara’ inasalia kwa Azam FC.

TETESI ZA USAJILI Prince Dube kwenda Yanga
TETESI ZA USAJILI Prince Dube kwenda Yanga

Kwenye mchakato wote Azam wamesimama kwenye weledi pekee, wala hawakutaka maneno ya koridoni bali vifungu vya kimkataba, AZAM with proper moves kazi nzuri kutoka kwa Viongozi wa Azam na CEO wao.

TETESI ZA USAJILI Prince Dube kwenda Yanga

SEE ALSO: