TETESI Za Usajili Yanga SC 2024/2025

TETESI Za Usajili Yanga SC 2024/2025, Tetesi Za Usajili Yanga Dirisha Kubwa la Usajili 2024/2025,Tetesi za Usajili Yanga 2024,Tetesi za Usajili Simba,Tetesi za usajili Yanga leo Dirisha dogo, Tetesi za Usajili Tanzania,Usajili Yanga Dirisha Dogo 2024.

Kiungo Zawadi Mauya amefikia Makubaliano ya Kuongeza mkataba wa mwaka mmoja kuendelea kuitumikia Young Africans Msimu ujao wa 2024/2025. Klabu ya Yanga inatajwa kuiwania saini ya Mshambuliaji, Emmanuel Bola Lobota kutoka raia wa DR Congo kutoka Singida Black Stars.

Klabu ya Yanga sc imepanga kuwaongeza mikataba mipya wachezaji Salum Abubakar, Jonas Mkude, Bakari Nondo Mwamnyeto pamoja na Kibwana Shomari.

TETESI Za Usajili Yanga SC 2024/2025

Klabu ya Yanga imefikia makubaliano ya kumsajili beki wa kushoto wa klabu ya FC Lupopo ya kwao DR Congo, Chadrack Issaka Bola mwisho wa msimu huu wa 2023/2024.

TETESI Za Usajili Yanga SC 2024/2025
TETESI Za Usajili Yanga SC 2024/2025

Boka mwenye umri wa miaka 24 anatua Young Africans kuchukua nafasi ya Joyce Lomalisa Mtambala ambaye anaondoka baada ya mkataba wake kuisha.

SEE ALSO