TETESI za USAJILI YANGA, Wachezaji sita wanakuja

TETESI za USAJILI YANGA, Wachezaji sita wanakuja, TETESI Za Usajili Yanga SC 2024/2025, Tetesi Za Usajili Yanga Dirisha Kubwa la Usajili 2024/2025,Tetesi za Usajili Yanga 2024,Tetesi za Usajili Simba,Tetesi za usajili Yanga leo Dirisha dogo, Tetesi za Usajili Tanzania,Usajili Yanga Dirisha Dogo 2024.

Kiungo Zawadi Mauya amefikia Makubaliano ya Kuongeza mkataba wa mwaka mmoja kuendelea kuitumikia Young Africans Msimu ujao wa 2024/2025. Klabu ya Yanga inatajwa kuiwania saini ya Mshambuliaji, Emmanuel Bola Lobota kutoka raia wa DR Congo kutoka Singida Black Stars.

Klabu ya Yanga sc imepanga kuwaongeza mikataba mipya wachezaji Salum Abubakar, Jonas Mkude, Bakari Nondo Mwamnyeto pamoja na Kibwana Shomari.

TETESI za USAJILI YANGA, Wachezaji sita wanakuja

TETESI za USAJILI YANGA, Wachezaji sita wanakuja
TETESI za USAJILI YANGA, Wachezaji sita wanakuja

Wachezaji wanaochwa na Yanga (THANK YOU) 2024

  1. Joyce Lomalisa
  2. Jonasi Mkude
  3. Abutwalibu Msheri
  4. Agustin Okhra
  5. Skudu Makudubela

SEE ALSO: