Tiketi Za Mchezo wa Azam dhidi ya Pamba Jiji

Tiketi Za Mchezo wa Azam dhidi ya Pamba Jiji | Mchezo wa Azam FC vs Pamba Jiji kwenye Ligi Kuu NBC tarehe 14 September 2024.

Tiketi Za Mchezo wa Azam dhidi ya Pamba Jiji

Azam FC imeanza kuuza tiketi kwa ajili ya mechi yao dhidi ya Pamba Jiji, itakayochezwa kesho Jumamosi. Mashabiki wanaweza kununua tiketi kupitia mfumo wa N-Card, huku viwango vya kiingilio vikiwa kama ifuatavyo:

  • Mzunguko: Shilingi 3,000
  • V.I.P B: Shilingi 5,000
  • V.I.P A: Shilingi 10,000

Tiketi Za Mchezo wa Azam dhidi ya Pamba Jiji

Hii ni fursa kwa mashabiki kujitokeza kwa wingi na kupata nafasi ya kushuhudia mchezo huu muhimu kwa gharama nafuu.

ANGALIA PIA: