Timu zilizofunga magoli mengi Ligi Daraja la Kwanza 2023-24

Timu zilizofunga magoli mengi Ligi Daraja la Kwanza 2023-24: Timu iliyofunga Magoli Mengi NBC Championship League Tanzania Msimu huu. Timu bora yenye safuzuri ya ushambuliaji ligi daraja la kwanza, mfungaji bora Champioonship ligi daraja la kwanza 2024.

Ufungaji ndio nguzo muhimu zaidi kwenye mchezo wa mpira wa miguu kwakuwa ndio chanzo kikuu cha ushindi kwenye mechi, ikiwa timu itakuwa na safu butu ya ushambuliaji ni nadra sana kupata matokeo na kukusanya alama kwenye ligi, hivyo timu nyingi zinaitaji washambuliaji ili kujiakikishia ushindi kwa asilimia kubwa.

Kwenye ligi daraja la kwanza msimu huu umeshuudia magoli mengi zaidi kuliko misimu mingine na hii inachangiwa na kiwango cha ligi kupanda kwa kasi hivyo timu nyingi zimeingia kwenye daraja la ushindani ili kujiweka sawa kwenye mbio za kupanda ligi kuu.

Timu zilizofunga magoli mengi Ligi Daraja la Kwanza 2023-24

Zifuatazo ni miongoni mwa timu zenye sanaa kubwa ya ufungaji mabao kwa msimu huu, zikiwekwa kwenye orodha ya timu zenye safu zuri ya ushambuliaji kwa msimu 2023-24.

Biashara United — 38

KenGold — 37

Mbuni FC — 36

Pamba FC — 35

Mbeya Kwanza — 35

TMA FC — 27

Mbeya City — 27

See also:

  1. Jinsi ya Kuangalia ligi ya Daraja La kwanza NBC Championship
  2. Timu zilizofungwa magoli machache Ligi Daraja la kwanza 2023/2024
  3. Vifahamu vyeo 15 vya Polisi Tanzania
  4. Ratiba ya Ligi kuu ya NBC Tanzania mizunguko ya 18, 19 na 20
  5. Ratiba ya michezo ya ligi kuu NBC leo Februari 28, 2024
  6. MSIMAMO wa Ligi Kuu NBC Leo 27/02/2024
  7. Ratiba ya Yanga March 2024
  8. Ratiba ya Yanga SC NBC Premier League 2023/2024
  9. Ligi 10 Bora Afrika | Best Football Leagues in Africa 2023/2024
  10. Ratiba ya NBC Ligi Kuu Tanzania Leo 25 February 2024
  11. Ratiba ya Yanga CAF Champions League 2023/2024