Timu Zilizofuzu Makundi Klabu Bingwa Afrika 2024/2025

Timu Zilizofuzu Makundi Klabu Bingwa Afrika 2024/2025 | Timu zitakazo shiriki CAF Champions League 2024/2025

Homa ya soka barani Afrika imezidi kupanda baada ya msimu wa kusisimua wa 2023/2024 wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League) kumalizika kwa kishindo. Mabingwa wTatetezi, Al Ahly, walitwaa taji lao kwa ushindi mwembamba wa 1-0 dhidi ya Esperance, wakiweka historia kwa mara nyingine tena. Lakini burudani ya soka haisimami, na sasa macho na masikio ya wapenda soka kote barani Afrika yanaelekezwa kwenye msimu mpya wa 2024/2025, ambapo vita vya kuwania taji hilo vimeanza upya.

Tayari timu kadhaa zimepiga hatua kubwa katika ligi zao za ndani, zikijihakikishia tiketi ya kucheza katika uwanja mkubwa zaidi wa vilabu barani Afrika. Lakini kwa wengine, vita vya kufuzu bado vinaendelea, vikitoa drama na msisimko wa hali ya juu.

Timu Zilizofuzu Makundi Klabu Bingwa Afrika 2024/2025

Timu Zilizofuzu Makundi Klabu Bingwa Afrika 2024/2025
Timu Zilizofuzu Makundi Klabu Bingwa Afrika 2024/2025
  1. Yanga | Tanzania
  2. TP Mazembe | DR Congo
  3. Petro de Luanda | Angola
  4. Pyramids | Egypts
  5. ASFAR Rabat
  6. CR Belouzdad
  7. Mamelodi Sudwons
  8. Orlando Pirates
  9. Bamako
  10. MC Alger
  11. AL AHLY
  12. Raja CA
  13. Al Hilal SC
  14. ES Tunis
  15. Rangers
  16. Stade D’Abidjan

ANGALIA PIA: