Timu zitakazoshiriki Ligi Kuu NBC msimu 2024/25, Msimu mpya wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara 2024/2025 unatarajiwa kuanza mwezi mmoja baadaye, na hizi ndizo timu 16 zitakazoshiriki msimu huo. Timu hizi zimejulikana baada ya Play-Offs za kuwania kubaki au kupanda Ligi Kuu kukamilika, ambapo Tabora United iliibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Biashara United na kuvuka hatua hiyo ya mtoano kwa ushindi wa jumla wa mabao 2-1.
Ikumbukwe kwenye mchezo wa kwanza uliochezwa mkoani Mara kwenye uwanja wa Karume Juni 16, 2024, Biashara United iliibuka na ushindi wa bao 1-0. Kabla ya kukutana na Biashara United, Tabora United iliianza hatua hii ya mtoano kwa kucheza na JKT Tanzania na kupoteza kwa jumla ya mabao 4-0, huku Biashara United wakishinda kwa jumla ya mabao 4-0 dhidi ya Mbeya Kwanza.
Timu zitakazoshiriki Ligi Kuu NBC msimu 2024/25
Timu zitakazoshiriki msimu wa 2024/2025 ni:
- Azam
- Coastal Union
- Dodoma Jiji
- Ihefu
- JKT Tanzania
- Kagera Sugar
- KenGold
- KMC
- Mashujaa
- Namungo
- Pamba
- Simba
- Singida FG
- Tabora United
- Tanzania Prisons
- Young Africans
SEE ALSO:
- Vijue vyakula vya kuongeza nguvu za kiume
- Fomu Ya Mkopo HESLB Loan Application 2024/2025
- Uthibitishaji wa Cheti cha Kuzaliwa RITA kwa Mkopo HESLB 2024/2025 Online
- Majina ya Waliochaguliwa JKT 2024 PDF Download
- Skeem Saam Teasers July 2024
- Moederhart Teasers July 2024
- CAF waweka wazi Tarehe ya mashindano ya AFCON 2025
- USAJILI: Azam yaacha wachezaji wanne leo
- Mfungaji Bora EURO 2024
- Wafungaji Bora EURO 2024
Leave a Reply