Viingilio Mchezo wa Simba vs Al Ahly Tripoli CAF

Viingilio Mchezo wa Simba vs Al Ahly Tripoli CAF | Hivi hapa viingilio vya mchezo wa marudioano wa Simba dhidi ya Al Ahly Tripoli ya Libya tarehe 22 September 2024.

Viingilio vya mchezo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Simba SC na Al Ahli Tripoli vinavyotarajiwa kufanyika tarehe 22 Septemba 2024 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, kawaida huwa vinatangazwa na uongozi wa Simba SC siku chache kabla ya mechi. Mara nyingi, viingilio vya mechi hizi hutofautiana kulingana na maeneo ya kuketi ndani ya uwanja.

Viingilio Mchezo wa Simba vs Al Ahly Tripoli CAF

Hivi hapa viingiliyo vya mchezo wa Simba vs Al Ahly Tripoli kwenye kombe la shirikisho CAF, Viingilio vimewekwa/kugawanywa kwa makundi yafuatayo:

Viingilio Mchezo wa Simba vs Al Ahly Tripoli CAF

  • Mzunguko (viti vya kawaida): Tsh 3,000
  • Machungwa: Tsh 5,000
  • VIP C: Tsh 15,000
  • VIP B: Tsh 20,000.
  • VIP A: Tsh 40,000.

Hata hivyo, viwango vinaweza kubadilika kutegemeana na aina ya mechi na timu zinazoshiriki. Ili kupata taarifa sahihi, ni vyema kufuatilia matangazo rasmi kutoka kwa Simba SC au Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) siku chache kabla ya mechi.

ANGALIA PIA: