Viingilio vya mchezo wa Yanga dhidi ya Safari Champions

Viingilio vya mchezo wa Yanga dhidi ya Safari Champions | Kwa mashabiki wa soka wanaotarajia kuhudhuria mchezo kati ya Yanga na Safari Champions utakaochezwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa tarehe 29 Juni 2024, viingilio ni kama ifuatavyo:

Viingilio vya mchezo wa Yanga dhidi ya Safari Champions

Viingilio vya mchezo wa Yanga dhidi ya Safari Champions
Viingilio vya mchezo wa Yanga dhidi ya Safari Champions
  • VIP A: TSh 30,000
  • VIP B: TSh 10,000
  • VIP C: TSh 5,000
  • Viti vya Rangi ya Machungwa: TSh 3,000
  • Viti vya Rangi ya Bluu na Kijani: TSh 3,000

Hakikisha unapata tiketi yako mapema ili kuepuka msongamano na kufurahia mechi hii ya kusisimua. Karibuni wote kuja kushuhudia burudani ya soka!

SEE ALSO: