WAFUNGAJI Bora NBC Premier League 2024/2025

WAFUNGAJI Bora NBC Premier League 2024/2025 |  Vinara wa Magoli NBC Premier league 2024-25 | Wafungaji Bora Ligi Kuu ya NBC 2024/2025 | Wafungaji bora wa Ligi kuu Tanzania bara.

Katika kila msimu wa Ligi Kuu ya NBC, mbio za kumsaka mfungaji bora ni mojawapo ya vipengele vinavyoleta msisimko mkubwa. Wachezaji wenye vipaji vya hali ya juu kutoka vilabu mbalimbali wanapambana ili kujitwalia kiatu cha dhahabu, kinachotolewa kwa mfungaji mwenye mabao mengi zaidi mwishoni mwa msimu.

Msimu wa 2024/2025 unaonekana kuwa na ushindani mkali, ambapo wachezaji wachanga na wazoefu wanajitahidi kutikisa nyavu na kuongeza idadi ya mabao yao. Hadi sasa, tunashuhudia nyota mbalimbali wakianza kufunga na kujiweka kwenye ramani ya kugombea kiatu cha mfungaji bora.

Orodha ya WAFUNGAJI Bora NBC Premier League 2024/2025

Hadi kufikia sasa, wachezaji waliofanikiwa kufumania nyavu katika michezo ya Ligi Kuu ya NBC Tanzania 2024/2025 ni kama ifuatavyo:

WAFUNGAJI Bora NBC Premier League 2024/2025
WAFUNGAJI Bora NBC Premier League 2024/2025

NBC PREMIER LEAGUE SCORERS