Zijue Frequency za Redio Crown FM Tanzania Bara na Zanzibar

Zijue Frequency za Redio Crown FM Tanzania Bara na Zanzibar

Zijue Frequency za Redio Crown FM Tanzania Bara na Zanzibar – Staa wa muziki wa Bongo Fleva Alikiba amezindua redio yake mpya iitwayo CROWN FM inayopatikana 92.1 Fm.

Alikiba ameeleza sababu za kuanzisha Radio kuwa ndio njia pekee iliyomkuza na watu kumfahamu kupitia Radio.

Baada ya kuwa msanii kwa takriban miaka 20, sasa ni miongoni mwa wasanii na watu wanaomiliki Radio.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by Crown TV (@crowntvtz)

See also:

  1. Dube Afichua Mahovu ya Uongozi wa Azam FC
  2. TETESI ZA USAJILI: Dube anukia Jangwani
  3. Jinsi ya kuangalia deni la gari online 2024
  4. Ratiba ya Klabu Bingwa Robo fainali 2023/2024 CAF
  5. Alikiba azindua kituo cha redio inaitwa ‘Crown FM’