Matokeo ya Yanga dhidi ya CBE Leo 14/09/2024

Matokeo ya Yanga dhidi ya CBE Leo 14/09/2024 | Matokeo ya Mchezo wa Yanga vs CBE kwenye michezo ya Kufuzu Klabu Bingwa Afrika msimu huu.

Kuelekea mchezo wa kufuzu hatua ya makundi ambao utakuwa wa mkondo wa kwanza kwenye hatua ya awali ya mtoano utakaochezwa kwenye uwanja wa Abebe Bikila nchini Ethiopia. Mchezo huu utatoa taswira ya klabu zote mbili kuelekea hatua ya makundi kwenye klabu bingwa (Champions League 2024/25).

Klabu ya Yanga imedhamiria kufanya makubwa sana msimu huu kwenye klabu bingwa msimu huu. Na ratiba ya mambo yote hayo inaazia kwenye mchezo wao waugenini dhidi ya CBE. Ambapo Yanga imedhamiria kumaliza mchezo na kufuzu kwenye mchezo wa kwanza kabla ya marudiano wiki ijayo.

Kikosi cha Yanga kipo fiti kukabiliana na CBE, huku kikiwa na matumaini sana kulingana na matokeo yao ya hivi karibuni ambapo wamefanikiwa kushinda michezo yapo mitano ya mwisho.

Matokeo ya Yanga dhidi ya CBE Leo 14/09/2024

14/09/24 CCL Ethiopia Nigd Bank 15 : 00 Young Africans
  • MCHEZO: Utaaza saa 9:00 Mchana
Matokeo ya Yanga dhidi ya CBE Leo 14/09/2024
Matokeo ya Yanga dhidi ya CBE Leo 14/09/2024

ANGALIA PIA: