Ratiba ya Yanga CAF 2024/2025 Ligi ya Mabingwa

Ratiba ya Yanga CAF 2024/2025 Ligi ya Mabingwa Afrika | Ratiba ya Klabu ya Yanga kwenye michuano ya Klabu Bingwa Afrika CAF msimu wa 2024/25.

Klbau ya Yanga imekuwa na mwendelezo mzuri kwenye michuano ya CAF kwa msimu wa 3 mfululizo, itakumbukwa msimu wa 2022/23 ilifanikiwa kucheza fainali yake ya kwanza kwenye michuano ya CAF baada ya kuangukia Kombe la Shirikisho kwa kutolewa kwenye michuano ya Klabu Bingwa na AL Hilal.

Msimu ulipita ulikuwa msimu wao wa mafanikio baada ya kuingia hatua ya makundi ya michuano ya Klabu Bingwa baada ya maika 25 kupita tangu waingie kwenye hatua hiyo, wakafikia malengo na kuvuka hatua ya makundi na kuingia robo fainali ikiwa ndio mara ya kwanza pia kwa klabu hiyo.

Msimu huu klabu ya Yanga imeweka malengo yao kuwa wanatamani kucheza fainali ya klabu bingwa afrika ikiwa inachagizwa na muendelezo mzuri na kikosi chao bora kilichojengeka kila idara ya kiwanja. Hatua hiyo imekuja baada ya kuona wanauwezza wa kushidana na timu yoyote Afrika kwenye kiwanja chochote na kupata matokeo ya kuridhisha.

Ratiba ya Yanga CAF 2024/2025 Ligi ya Mabingwa

Ifuatayo ni rattiba ya Klabu ya Yanga kwenye michuano ya CAF Champions League/Klabu Bingwa Afrika kwa msimu wa 2024/2025:-

14 September 2024 | CBE 0-1 Yanga

21 September 2024 | Yanga vs CBE

Ratiba ya Yanga CAF 2024/2025 Ligi ya Mabingwa
Ratiba ya Yanga CAF 2024/2025 Ligi ya Mabingwa

Pamoja na mafanikio yao yote klabu ya Yanga inasumbuliwa na historia ambayo haijawa rafiki sana kwenye michano ya klabu bingwa Afrika, hivyo wanatarajia kuondoa ilo, ilikujiweka sawa kwenye michuano ya CAF.

Sisi kama KIJIWEFORUM tunawatakiwa kila la HERI kwenye michuano ya Klabu Bingwa Africa ambayo watashiriki, na wafikie malengo waliojiwekea.

ANGALIA PIA: