Kikosi cha Coastal Union FC 2024/2025 Full Squad List

Kikosi cha Coastal Union FC 2024/2025 Full Squad List | Wachezaji watakao wakilisha timu ya Coastal Union msimu huu wa 2024/2025 wa NBC Ligi Kuu Tanzania na michuano mbalimbali.

Baada ya kuwa na msimu mzuri sana kikosi cha Coastal Union kwenye msimu wa 2023/2024, ambapo walimaliza kwenye nafasi ya nne kwenye msimamo wa Ligi Kuu NBC chini ya Simba nafasi ya 3, Azam nafasi ya 2 na Yanga kama bingwa nafasi ya 1. wanataka kufanya muendelezo wa ubora kwenye msimu huu wa 2024/2025.

Coastal Union iliingia sokoni kutafuta wachezaji watakayo uvyusha timu kwenye vipindi mbalimbali vya msimu na kuja na kikosi cha ushindani ili kufanya muendelezo wa walichokifanya msimu uliomalizika.

Kikosi cha Coastal Union FC 2024/2025 Full Squad List

Kifuatacho ni Kikosi kamili cha wachezaji wa Coastal Union kuelekea msimu huu wa 2024/2025 wa Tanzania kwenye michuano mbalimbali kama vile CAF, Kombe la Shirikisho la CRDB na Ligi kuu Tanzania Bara NBC.

Kikosi cha Coastal Union FC 2024/2025 Full Squad List
Kikosi cha Coastal Union FC 2024/2025 Full Squad List
  • 5 Ally Ayubu
  • 6 Ramadhan MwendA
  • 7 Maulid Juma
  • 8 Lucas Alumeida Kikoti
  • 9 Maabad Maulid
  • 10 Abdallah Hassan
  • 13 Abdallah Denis
  • 16 Jeremie Ntambwe
  • 19 Bakari Seleman
  • 21 Haroub Mohamed
  • 22 Lameck Lawi
  • 24 Mbaraka Yusuph
  • 25 Hernest Briyock
  • 28 Hussein Salimu
  • 29 Jackson Shiga
  • 32 Mukrim Abdallah
  • 33 Mirajy Abdallah
  • 34 Lumeire Banza
  • 35 Athuman Hassani
  • 37 Semfuko Charlse
  • 40 Ley Matampi

ANGALIA PIA: