Wafungaji Bora UEFA 2024/2025 Champions League top scorers

Wafungaji Bora UEFA 2024/2025 Champions League top scorers | Msimu wa 2024/2025 wa UEFA Champions League unaendelea kushuhudia viwango vya juu kutoka kwa wachezaji mahiri wanaowania taji la mfungaji bora. Mastaa wa vilabu vikubwa vya Ulaya wameanza kuonyesha uwezo wao, wakifunga mabao muhimu kwa timu zao katika hatua mbalimbali za mashindano.

Wachezaji kama Erling Haaland wa Manchester City, Mohamed Salah wa Liverpool, Harry Kane wa Bayern na Robert Lewandowski wa Barcelona wanatarajiwa kuongoza orodha ya wafungaji bora. Pia, wachezaji wapya na chipukizi kutoka vilabu vingine kama PSG, Real Madrid, na Bayern Munich nao wanazidi kujitokeza na kutikisa nyavu mara kwa mara.

Mashindano haya ya ngazi ya juu yanatoa fursa kwa wachezaji hawa kuonyesha vipaji vyao mbele ya mashabiki wa soka ulimwenguni, huku kila bao likiwa na umuhimu mkubwa katika mbio za kuwania taji na utukufu wa mfungaji bora wa msimu.

Wafungaji Bora UEFA 2024/2025 Champions League top scorers

Ifuatayo ni Orodha ya wachezaji wanaoongoza chati ya jedwali la ufungaji bora kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya UEFA kwa msimu huu wa 2024-25 kama ifuatavyo:-

Wafungaji Bora UEFA 2024/2025 Champions League top scorers
Wafungaji Bora UEFA 2024/2025 Champions League top scorers
# Player Country Team Goals (Penalty)
1. Harry Kane England Bayern München Bayern München 4 (3)
2. Michael Olise France Bayern München Bayern München 2 (0)
3. Zeno Debast Belgium Sporting CP Sporting CP 1 (0)
Endrick Brazil Real Madrid Real Madrid 1 (0)
Nicolás González Argentina Juventus Juventus 1 (0)
Leon Goretzka Germany Bayern München Bayern München 1 (0)
Raphaël Guerreiro Portugal Bayern München Bayern München 1 (0)
Viktor Gyökeres Sweden Sporting CP Sporting CP 1 (0)
Ibrahima Konaté France Liverpool FC Liverpool FC 1 (0)
Kylian Mbappé France Real Madrid Real Madrid 1 (0)

ANGALIA PIA: