NBC Ratiba ya Ligi Kuu Leo September 25, 2024

NBC Ratiba ya Ligi Kuu Leo September 25, 2024 | Ratiba ya Mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara NBC Premier League.

Katika mueendelezo wa michezo ya ligi kuu leo September 25 kutashuhudia michezo miwili kwenye viwanja tofauti, ikiwa ni michezo ya mzunguko wa tano kwa baadhi ya timu na nyingine ni mzunguko wa pili ana wanne. Leo kwenye Ratiba ya Ligi kuu Tanzania kutasuhusiwa mchezo mwa mabingwa watetezi wa NBC pamoja na KenGold.

Moja Kati ya mchezo unaosubviriwa kwa hamu zaidi ni mchezo wa kwanza wa Yanga akicheza ugenini kwenye muendelezo wa ratiba ya ligi kuu dhidi ya Kengold. Huu utakuwa mchezo wao wa pili kwenye NBC msimu huu. Itakumbukwa awajashuka dimbani kutokana na majukumu ya mashindano ya mtoano kuwania tiketi ya kucheza makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

NBC Ratiba ya Ligi Kuu Leo September 25, 2024

Ifuatayo ni Ratiba ya Ligi Kuu NBC leo kwenye michezo ya muendelezo ya Ligi, michezo yote itachezwa majira ya mchana na itakuwa mubashara kwenye king’amuzi cha Azam TV kwenye chaneli ya kichezo ya AzamSport HD1:-

14:00 — JKT Tanzania vs Coastal Union | Mej. Isamuhyo.

16:15 — KenGold vs Yanga | Sokoine Stadium.

NBC Ratiba ya Ligi Kuu Leo September 25, 2024
NBC Leo September 25

ANGALIA PIA: