Droo ya Hatua ya Makundi CAF, Simba SC Kwenye Chungu Namba 1

Droo ya Hatua ya Makundi CAF, Simba SC Kwenye Chungu Namba 1 Oktoba 7, 2024

Droo ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho itachezwa tarehe 7 Oktoba 2024, ambapo timu mbalimbali zitagundua wapinzani wao kwa hatua inayofuata ya michuano hiyo. Mabingwa watetezi wa Ligi ya Mabingwa Afrika, Al Ahly ya Misri, watakuwa kwenye chungu namba 1, sambamba na Esperance (Tunisia), Mamelodi Sundowns (Afrika Kusini), na TP Mazembe (DR Congo).

Droo ya Hatua ya Makundi CAF, Simba SC Kwenye Chungu Namba 1

Kwa upande wa Kombe la Shirikisho la Afrika, Simba SC, wawakilishi wa Tanzania, watakuwa pia kwenye chungu namba 1 pamoja na Zamalek (Misri), RS Berkane (Morocco), na USM Alger (Algeria). Timu hizi zenye uzoefu mkubwa katika michuano ya kimataifa zitajiandaa kupambana na wapinzani wao, huku mashabiki wakiwa na hamu kubwa ya kuona droo hiyo inavyojipanga.

Vyungu vya hatua ya makundi vinatarajiwa kuleta upinzani mkali na mechi za kuvutia, hasa kwa Simba SC na mashabiki wao ambao watakuwa wakisubiri kwa shauku kujua safari yao kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho itakavyokuwa.

MAKUNDI LIGI YA MABINGWA CAF

Vyungu (Pots) vya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa msimu wa 2024-25

Droo ya Hatua ya Makundi CAF, Simba SC Kwenye Chungu Namba 1
Droo ya Hatua ya Makundi CAF, Simba SC Kwenye Chungu Namba 1

:
Al Ahly
Esperance
Mamelodi Sundowns
TP Mazembe

:
CR Belouizdad
Raja Athletic Club
Young Africans
Pyramids FC

:
Al Hilal
Orlando Pirates
Sagrada Esperança
ASFAR

Pot 4:
MC Alger
Djoliba
Maniema Union
Stade d’Abidjan

MAKUNDI KOMBE LA SHIRIKISHO CAF

Vyungu (Pots) vya hatua ya makundi ya kombe la Shirikisho Afrika kwa msimu wa 2024-25

Droo ya Hatua ya Makundi CAF, Simba SC Kwenye Chungu Namba 1

:
• Zamalek SC
• ⁠RS Berkane
• ⁠Simba SC
• ⁠USM Alger

:
• ASEC Mimosas
• ⁠Stade Malien
• ⁠Al Masry
• ⁠CS Sfaxien

:
• Enyimba FC
• ⁠ASC Jaraaf

Timu ambazo hazijaorodheshwa kwenye viwango ( )
• CD Lunda Sul
• Constantine
• Orapa United
• Bravos do Maquis
• Stellenbosch
• Black Bulls

ANGALIA PIA: