Ratiba ya Ligi Kuu NBC Tanzania 2024/25, Mzunguko wa 6

Ratiba ya Ligi Kuu NBC Tanzania 2024/25, Mzunguko wa 6 | Ratiba ya Mechi za Wiki ya 6 – Ligi Kuu ya NBC Tanzania 2024/25

Mzunguko wa sita wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania kwa msimu wa 2024/25 umekamilika na mashabiki watashuhudia mechi za kibabe zenye matukio mazuri ya kiburudani. Mechi za mzunguko wa 6 zitaanza tarehe 27 Septemba 2024 na kumalizika tarehe 29 Septemba 2024.

Ratiba ya Ligi Kuu NBC Tanzania 2024/25, Mzunguko wa 6

Hapa kuna orodha kamili ya ratiba ya mechi kwa wiki hii:

Ratiba ya Ligi Kuu NBC Tanzania 2024/25, Mzunguko wa 6
Ratiba ya Ligi Kuu NBC Tanzania 2024/25, Mzunguko wa 6

Tarehe 27 Septemba 2024:

  • Fountain Gate vs Kagera Sugar
    Saa 16:00
    Uwanja: Tanzanite Kwaraa, Manyara

Tarehe 28 Septemba 2024:

  • Kengold FC vs Tabora United
    Saa 14:00
    Uwanja: Sokoine Stadium, Mbeya
  • Coastal Union vs Pamba Jiji
    Saa 16:15
    Uwanja: KMC Complex, Dar es Salaam
  • Namungo FC vs Tanzania Prisons
    Saa 19:00
    Uwanja: Majaliwa Stadium, Lindi

Tarehe 29 Septemba 2024:

  • Singida BS vs JKT Tanzania
    Saa 14:00
    Uwanja: CCM Liti, Singida
  • Mashujaa FC vs Azam FC
    Saa 16:15
    Uwanja: Lake Tanganyika, Kigoma
  • Dodoma Jiji vs Simba SC
    Saa 18:30
    Uwanja: Jamhuri Stadium, Dodoma
  • Young Africans vs KMC FC
    Saa 21:00
    Uwanja: Azam Complex, Dar es Salaam

Kwa kuzingatia ratiba hii, mashabiki wana nafasi ya kufurahia mechi kali, ikiwa ni pamoja na derby ya mji wa Dar es Salaam kati ya Yanga SC na KMC FC, pamoja na mtanange kati ya Dodoma Jiji na Simba SC. Timu zote ziko tayari kupambana ili kuongeza pointi kwenye msimamo wa ligi. Mashabiki wameshaanza kuelekeza macho yao kwenye viwanja vya soka kwa matumaini ya kushuhudia soka la kuvutia na matokeo ya kuvutia.

ANGALIA PIA: