Ratiba ya michezo ya ligi kuu NBC leo Februari 28, 2024

Ratiba ya michezo ya ligi kuu NBC leo Februari 28, 2024 | Ratiba ya NBC Leo Tanzania, Matokeo ya Michezo ya NBC, Ratiba ya Michezo ya Mzunguko wa Pili NBC, Ratiba ya NBC mwezi wa pili 2024, Msimamo wa NBC ligi kuu Tanzania Bara.

Baada ya mechi za mzungukowa wa 17 (Wiki ya 17) ya NBC kutamatika kwa michezo miwili hapo jana kati ya Mtibwa dhidi ya Dodoma na JKT dhidi ya KMC.

Leo katika kiwanja cha CCM Kirumba Mwanza kitashuudia mchezo mkubwa katika ligi ya NBC kati ay Singida Fountain Gate dhidi ya Azam FC. Mchezo utachezwa Mwanza licha ya Singida FG kutumia uwanja wa Liti Singida.

Mchezo utachezwa majira ya 10:00 jioni katika uwanja wa CCM Kirumba, ambapo Singida atakuwa mwenyeji wa mchezo huo.

Miongoni mwa michezo mingine itakayo shuudiwa ni pamoja na mchezo kati ya T. Prison dhidi ya Tabora (Sokoine | 8:00 Mchana), Ihefu dhidi ya Mashujaa (Liti | 08:00 Mchana) na Geita dhidi ya Kagera Sugar (Nyankumbu | 10:00 Mchana).

Ratiba ya michezo ya ligi kuu NBC leo Februari 28, 2024

Ratiba ya michezo ya ligi kuu NBC leo Februari 28, 2024

See also:

  1. MSIMAMO wa Ligi Kuu NBC Leo 27/02/2024
  2. Ratiba ya Yanga March 2024
  3. Ratiba ya Yanga SC NBC Premier League 2023/2024
  4. Ligi 10 Bora Afrika | Best Football Leagues in Africa 2023/2024
  5. Ratiba ya NBC Ligi Kuu Tanzania Leo 25 February 2024
  6. Ratiba ya Yanga CAF Champions League 2023/2024