Wachezaji wa Simba na Yanga wamerudi kwaajili ya Robo fainali

Wachezaji wa Simba na Yanga wamerudi kwaajili ya Robo fainali

Wachezaji wa Simba na Yanga wamerudi kwaajili ya Robo fainali – Baada ya mchezo wa juzi dhidi ya Bulgaria waliopoteza kwa 1-0 baadhi ya wachezaji wa kikosi cha Taifa Stars wamerejea kwaajili ya kujiandaa na michezo ya robo fainali ya CAF ambapo wengi wao ni wachezaji wa Simba na Yanga.

NYOTA WATANO SIMBA, YANGA WAREJEA: Ibrahim Hamad ‘Bacca’, Mudathir Yahya, Kibu Denis, Clement Mzize na Mohamed Hussein ni wachezaji wanaokipiga Simba na Yanga na wamerejea nchini kutokea jiiini Baku, Azerbaijan ili kujiunga na timu zao ambazo zipo katika maandalizi ya mechi za mkondo wa kwanza wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

See also: