Jengo jipya la DAWASA lililogharimu Tsh. bilioni 48.9
Jengo jipya la DAWASA lililogharimu Tsh. bilioni 48.9 – Kamati ya Kudumu ya Bunge Uwekezaji na Mitaji ya Umma imekagua jengo jipya la DAWASA Yetu lililopo Ubungo lililogharimu Tsh. bilioni 48.9 na linatarajiwa kufungwa mfumo maalum wa Teknolojia (System SCADA) utakao saidia kudhibiti upotevu wa maji na jenho hilo linatarajiwa kukamilika mwezi June mwaka huu.
Mwenyekiti wa Kamati hiyo Deus Sangu amesema kupitia jengo hilo, DAWASA ambayo ni Mamlaka kubwa Nchini ya maji itasaidia kuongeza ufanisi wa utoaji wa huduma ya Majisafi kwa Wananchi wa Dar es salaam na Pwani
“Tumekuwa na kilio kikubwa kama Kamati kwa wakati mrefu sana, kupitia system hii ya Scada ambayo watafunga kwenye jengo hili wataweza ku monitor upotevu wa maji kama kamati tumetoa maelekezo kutoka upotevu wa maji wa asilimia 37 wa sasa tumeielekeza DAWASA wahakikishe kwa mfumo huu mpya unashuka ili kufikia kiwango kile kinachokubalika kimataifa cha asilimia 20”
See also:
- Jinsi ya kuangalia deni la gari 2024
- Wachezaji 10 Matajiri zaidi wa Mpira wa Miguu 2024
- Wachezaji wanaolipwa pesa nyingi duniani 2024
- Mshahara wa Kylian Mbappé PSG 2024
- Takwimu za Wazir Jr Shentembo kwenye Ligi Kuu
- MATOKEO Azam dhidi ya Zimamoto Leo 23/03/2024
- MATOKEO Ramadhan Cup 2024 LEO
- RATIBA Silent Ramadhan Cup 2024
- A Level Combinations Tanzania
- Zijue Tahasusi (Combination) mpya za kidato cha tano zitakazoanza kutumika Julai
Leave a Reply