KenGold FC katika Mazingira Magumu yapoteza Mechi Tatu Mfululizo

KenGold FC katika Mazingira Magumu yapoteza Mechi Tatu Mfululizo | KenGold FC imeanza msimu wa 2024/2025 wa Ligi Kuu ya NBC kwa matokeo yasiyotarajiwa baada ya kupoteza mechi zao zote tatu za kwanza. Kichapo cha hivi karibuni kilikuwa dhidi ya KMC FC kwa bao 1-0, na kabla ya hapo walishindwa dhidi ya Singida Black Stars kwa 3-1 na Fountain Gate kwa 2-1.

Hali hii imewaweka KenGold kwenye presha kubwa, kwani wapo sambamba na Namungo FC na Kagera Sugar, ambao nao wameshindwa kupata pointi yoyote kwenye michezo yao mitatu ya kwanza.

Presha sasa ipo kwa kocha Fikirini Bakari, ambaye hata ametamka kuwa anafikiria kujiuzulu kutokana na matokeo haya yasiyoridhisha. Timu inahitaji kubadili mwelekeo wake haraka ili kujiondoa kwenye nafasi za chini za msimamo wa ligi.

KenGold FC katika Mazingira Magumu yapoteza Mechi Tatu Mfululizo
KenGold FC katika Mazingira Magumu yapoteza Mechi Tatu Mfululizo

KenGold FC katika Mazingira Magumu yapoteza Mechi Tatu Mfululizo

Kengold Fc imepoteza mechi zote tatu walizocheza hadi sasa.

❌ Kengold 1️⃣ ➖ 3️⃣ Singida Black Stars
❌ Fountain Gate 2️⃣ ➖ 1️⃣ Kengold
❌ KMC 1️⃣ ➖ 0️⃣ Kengold

Wanaungana na Namungo pamoja na Kagera Sugar ambao wote wamepoteza mechi zote tatu za kwanza

TIMU GANI UNAONA ITASHUKA DARAJA MSIMU HUU?

ANGALIA PIA: