Kikosi cha Namungo FC 2024/2025 Full Squad List

Kikosi cha Namungo FC 2024/2025 Full Squad List | Kikosi kitakacho iwakilisha kalbu ya ‘Wauwaji wa Kusini’ Namungo FC kwenye mashindano yote msimu huu wa 2024/25 Tanzania.

Klabu ya Namungo imekuwa ikifanya vyema sasa tangu ilipopanda daraja, ila haijwa na misho mzuri kwenye Ligi Kuu Tanzania kwa mismu miwili mfululizo saivi, tangu mara ya mwisho kufanya vyema kwenye ligi kuu msimu wa 2021/22.

Kwa msimu huu uongozi umeweka wazi kabisa malengo yao msimu huu ni kufanya vyema na ikiwezekana kurudi kwenye orodha ya timu zitakazo iwakilisha vyema Tanzania kwenye mashindano ya kimataifa hivyo basi imefanya sajili za maana kabisa kuelekea msimu mpya wa Ligi.

Kikosi cha Namungo FC 2024/2025 Full Squad List

Kifuatacho ni kikosi cha wachezaji wa Namungo FC watakao ipambambania klabu kwa msimu huu wa 2024-25 Tanzania Bara.

Kikosi cha Namungo FC 2024/2025 Full Squad List
Kikosi cha Namungo FC 2024/2025 Full Squad List
  • 3 Pius Buswita
  • 4 Amande Momande
  • 7 Hashimu Manyanya
  • 8 Moubarack Amza
  • 10 Emmanuel Ahsante
  • 12 Hamis Halifa Nyenye
  • 13 Jonathan Nahimana
  • 14 Ibrahim Ali
  • 16 Lenny Kissu
  • 17 Hassan Kabunda
  • 15 Anthony Mlingo
  • 18 Erasto Nyoni
  • 19 Ritch Nkoli
  • 21 Djuma Shabani
  • 22 Raphael Daudi
  • 24 Jacob Masawe
  • 29 Fabrice Ngoy
  • 36 Jafari Kibailo
  • 48 Erick Molongi
  • 60 Frank Domayo
  • 62 Hussein Mohamed

ANGALIA PIA: