Kundi la Tanzania Kufuzu Kombe la Dunia 2026

Kundi la Tanzania Kufuzu Kombe la Dunia 2026, Droo ya kufuzu kombe la dunia Kwa mwaka 2026 imechezeshwa na kila timu kupangwa katika kundi lake.

Katika droo iliyochezeshwa, makundi 9 yenye timu 6 yamepangwa huku timu ya Taifa ya Tanzania TaifaStars ikipangwa Kundi moja na timu za Taifa za Zambia, Morocco, Congo, Niger na Eritrea.

Mechi za Kufuzu zitaanza Novemba 2023, na Washindi wa kila Kundi watafuzu moja kwa moja kwenda kushiriki Kombe la Dunia katika nchi za Canada, Mexico na Marekani

Timu 4 bora zilizoshika nafasi ya pili Kutoka katika kila Mkundi zitacheza mechi za mtoano kupata timu ya moja ambayo itakamilisha timu 10 kutoka Afrika itakayoshiriki Kombe la Dunia.

Kundi la Tanzania Kufuzu Kombe la Dunia 2026

Kundi la Tanzania Kufuzu Kombe la Dunia 2026
Kundi la Tanzania Kufuzu Kombe la Dunia 2026

18 November 2023
Niger vs Tanzania

21 November 2023
Tanzania vs Morocco

June 11-2024
Zambia vs Tanzania

March 17-2025
Tanzania vs Congo Brazaville

March 24-2025
Morocco vs Tanzania

September 01-2025
Congo Brazaville vs Tanzania

October 06-2025
Tanzania vs Zambia

SEE ALSO: