LIVE UPDATES: MATOKEO Yanga vs Mamelodi Sundowns Leo 05 April 2024

LIVE UPDATES: MATOKEO Yanga vs Mamelodi Sundowns Leo 05 April 2024, Matokeo Yanga vs Mamelodi Sundowns Leo 05/04/2024, Kikosi cha Mamelodi Leo dhidi ya Wananchi ‘Yanga’, Lineup for Yanga vs Mamelodi Sundowns Leo, Matokeo ya Yanga Leo dhidi ya Mamelodi Sundowns, Matokeo ya Yanga Leo vs Masandawana CAF robo fainali, kikosi cha Yanga Leo, Matokeo na Kikosi cha Yanga CAF leo.

Moja kati ya mchezo unaosubiriwa kwa shahuku na hamu kubwa na wapenzi wa mpira barani Afrika nimiongoni mwa mchezo huu unaowakutanisha Mamelodi Sundowns ‘Masandawana’ wakiwa wenyeji dhidi ya Yanga ‘Wananchi’ kama wageni kwenye mchezo huu unaochezwa Afrika Kusini katika mji wa Pretoria majira ya 3:00 usiku kwa saa za Afrika Mashariki na 2:00 usiku kwa saa za Afrika ya Kusini.

Mchezo huu unaleta amasa sana kutokana na matokeo yaliyopatikana kwenye mchezo wa kwanza wa Dar es salaam apambo haukutoa mbabe kwa dakika 90′, hivyo mchezo huu wa leo kila timu inaingia ikiwa na uwakika asilimia kubwa ya kushinda. Yanga wanamatumaini zaidi baada ya kufanikiwa kupata sare ya bila goli na wakiwa na matumaini ya kupata goli kwenye mchezo huu.

Kikosi cha wachezaji wa Yanga SC kipotayari kuwakabili Masandawana leo na kimeonyesha kuitaji zaidi matokeo kwenye mchezo huu licha ya kukiri kuwa mchezo utakuwa mgumu kwa pande zote mbili (Matokeo Yanga vs Mamelodi Sundowns Leo 05/04/2024).

Matokeo Yanga vs Mamelodi Sundowns Leo 05/04/2024

LIVE UPDATES: MATOKEO Yanga vs Mamelodi Sundowns Leo 05 April 2024

See also: