Matokeo Coastal Union vs Namungo Leo 17/09/2024

Matokeo Coastal Union vs Namungo Leo 17/09/2024 | Matokeo ya Mchezo wa Leo Wa Namungo wakikaribishwa na Coastali Union Kwenye uwanja wa Azam Complex Dar es Salaam, utakaochezwa majira ya jioni saa 16:15.

Baada ya kuwa na mwaza mbaya kwa timu zote mbili sasa kila timu inahitaji matokeo ya alama tatu kwenye mchezo wao huu, itakumbukwa Namungo mpaka sasa haijapata ushindi wa aina yoyote ile kwenye michezo yake mitatu mfululizo. Wakati huo Coastal Union waliaza kwa kutolewa kwenye michunao ya Kombe la Shirikisho Afrika CAF.

Coastal Union Kuwakaribisha Namungo FC Katika Pambano la Ligi Kuu ya NBC Septemba 17, 2024

Coastal Union na Namungo FC watakutana leo saa 13:00 UTC katika mechi ya Ligi Kuu ya NBC Tanzania. Huku Coastal Union ikishika nafasi ya 13 na Namungo FC wakipambana kutoka nafasi ya 16, mechi hii inatarajiwa kuwa ya ushindani mkubwa, kwani timu zote zinahitaji alama muhimu ili kujiimarisha katika msimamo wa ligi.

Matokeo Coastal Union vs Namungo Leo 17/09/2024

COASTAL UNION        -:-        NAMUNGO FC

  • Mubashara kupitia AzamSport 1HD saa 16:15 Jioni
Matokeo Coastal Union vs Namungo Leo 17/09/2024
Matokeo Coastal Union vs Namungo Leo 17/09/2024

Coastal Union itakuwa na lengo la kuondoa mwanya wa kushuka daraja, wakati Namungo FC watataka kutoka katika nafasi ya chini na kuboresha mwenendo wao kwenye ligi.

ANGALIA PIA: