MATOKEO Simba Vs Al Ahly Leo 05 April 2025

MATOKEO Simba Vs Al Ahly Leo 05 April 2025, Matokeo Simba Vs Al Ahly Leo 05 April 2025, Kikosi cha wachezaji waa Simba Leo dhidi ya Al-Ahly, Matokeo ya Simba dhidi ya Waarabu Leo, Matokeo yua Ahly dhidi ya Simba Leo, LINEUP for Simba vs AL_AHLY, Matokeo Simba Leo CAF robo fainali.

Baada ya mchezo wa kwanza uliochezwa Dar es salaam ulioisha kwa Simba kupoteza kwa 1-0, baadhi ya mashabiki wakwisha ikatia tamaa timu na kupoteza matuamaini ya kufuzu hatua ya nusu fainali na hii inasababishwa na mashabiki kujua kuwa timu pizani huwa ngumu sana hasa inapocheza njumani kwao CAIRO.

Mchezo huu unataswira nyingi hasa kwa upande wa SImba SC ambao wanaona kunauwezekano mkubwa wa kuitoa AL-Ahly tena kwenye aridhi yao licha ya kujua ubora wao kwa miaka ya hivi karibuni. Viongozi na wachezaji wameonesha niathabiti ya kuelekea mchezo huu na matumaini makubwa ya kufuzu hatua ijayo ya nusu fainali.

MATOKEO Simba Vs Al Ahly Leo 05 April 2025

Kikosi cha Simba Vs Al Ahly Leo 05 April 2025
Kikosi cha Simba Vs Al Ahly Leo 05 April 2025

Simba SC XI:

  • Ayoub
  • Kapombe
  • Zibwe JR
  • Inonga
  • Chemalone
  • Ngoma
  • Kanoute
  • Mzamiru
  • Ntibanzokiza
  • Kibu
  • Chama JR

See also: