Matokeo Simba vs Mashujaa Leo 09 April 2024

Matokeo Simba vs Mashujaa Leo 09 April 2024, Matokeo ya simba vs Mashujaa FC April 09-2024,simba vs Mashujaa tarehe 09-2024, Kikosi Cha simba vs Mashujaa Leo 09/03/2024, Results for Simba SC vs Mashujaa today ASFC/CRDB Federation Cup 2023/24.

Klabu ya Simba SC itacheza mchezo unaofuata dhidi ya Mashujaa FC ya Kigoma, ukiwa ni mchezo wa hatua ya 16 Boda ya CRDB Bank Federation Cup 2023/2024, Simba vs Mashujaa FC, Simba vs Mashujaa Lineups, Simba vs Mashujaa FC today.

Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Leo Jumanne ya April 09-2024 kuanzia saa 10:00 Jioni kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma/Matokeo Simba vs Mashujaa Leo 09 April 2024.

Mashujaa ni miongoni mwa timu ngumu sanapindi wanpokutana na timu za daraja la juu kama Simba, itakumbukwa mchezo wao wa mwisho walipokutana katika ligi kuu NBC Simba ilishinda kwa goli 1-0 walilopata kwa mkwaju wa penati, ilandani ya dakika 90′ Mashujaa FC walicheza vizuri na walitengeza nafasi nyingi sana licha ya kupoteza mchezo huo.

Simba inataka kurudisha ufalme wake kwenye kombe la shirikisho huku ikijua inaenda kukutana na timu ngumu yenye upiza wa hali juu kutokana na aina ya mpira wanaocheza.

Matokeo Simba vs Mashujaa Leo 09 April 2024

FT  Mashujaa FC     (6)1 – 1(5)    Simba SC

  • Michael Goal
  • 5′ Lusajo Goal

Matokeo Simba vs Mashujaa Leo 09 April 2024

See also: