MATOKEO Taifa Stars vs Bulgaria Leo 22/03/2024

Taifa Stars vs Bulgaria

MATOKEO Taifa Stars vs Bulgaria Leo 22/03/2024, Matokeo ya Tanzania dhidi ya Bulgaria Mechi za FIFA Series, Taifa Stars dhdi ya Bulgaria Leo Matokeo yake, Mechi Live ya Tanzania vs Bulgaria, Bulgaria National Football Team vs Tanzania National Football Team, Matokeo ya Bulgaria vs Taifa Stars Leo 22 Machi 2024.

MATOKEO Taifa Stars vs Bulgaria Leo 22/03/2024

Mchezo wa Taifa Stars ‘Tanzania’ Utachezwa majira ya saa 10:00 kwa saa za Afrika Mashariki, kwenye uwanja wa Dalgha Arena Mardakan. Mchezo unatarajiwa kuwa wakiushindani licha ya kuwaa timu hizi hazijawa kukutana kabisa kwenye michezo hivi karibuni.

Kikosi cha Timu ya Taifa ya Tazania ‘Taifa Stars’ kimesheheni wachezaji mahiri na wenye uzoefu na mashindano makubwa wanaojumuishwa kutoka ligi za mataifa mbalimbali ulaya na humu Afrika, hivyo timu ya taifa ya Tanzania inatarajia kuwa na mchezo mzuri ikiwemo kupata matokeo kwenye mchezo huo.

MATOKEO Taifa Stars vs Bulgaria Leo 22/03/2024

| MUBASHARA |  Bulgaria   1 : 0    Tanzania

  • Kickoffs! 16:00

See also: