Matokeo ya KMC vs Azam Leo 19/09/2024

Matokeo ya KMC vs Azam Leo 19/09/2024 | Matokeo ya Mechi ya Azam dhidi ya KMC Leo kwenye muendelezo wa NBC Premier League.

Azam ni miongoni mwa timu kubwa sasa kwenye ligi y a Tanzania imekuwa ikitoa changamoto sana kwenye ligi kwa miaka ya hivi karibuni, itakumbukwa msimu uliopita ilimaliza kwenye nafasi mbili za juu. Kwa bahati mbaya sana msimu huu haujaaza vyema kwao kwenye ligi ya NBC.

Katika michezo miwili ya ligi waliocheza awajafanikiwa kupata matokepo yoyote ndani ya dakika 90′ wala kufunga goli lolote. Jombo jema kwao ni kwamba wanasafu imara ya ulizi ambayo haijaruhusu goli. Mashaka yanaingia kwa mashabiki wao juu ya mwenendo wao kwenye ligi na kuona hawatafikia malengo yao msimu huu kama ilivyo kuwa msimu uliomalizika.

KMC katika michezo mitatu iliyo pita wamefanikiwa kupata alama 4 na wakiwa nafasi ya 7 kwenye msimamo wakishinda mchezo 1 wakitoa  sare mchezo 1 na wakipoteza mchezo 1. Hivyo matumaini yao nikuwa na mchezo bora sana leo dhidi ya KMC.

Matokeo ya KMC vs Azam Leo 19/09/2024

Matokeo ya KMC vs Azam Leo 19/09/2024
Matokeo ya KMC vs Azam Leo 19/09/2024

LIVE   |   KMC        -:-        Azam

  • mubashara kupitia AzamSport 1HD saa 10:00 jioni

ANGALIA PIA: