Matokeo ya Mechi ya Azam FC Dhidi ya Pamba Jiji Leo 14/09/2024

Matokeo ya Mechi ya Azam FC Dhidi ya Pamba Jiji Leo 14/09/2024 | Mechi ya Azam FC Dhidi ya Pamba Jiji Yafanyika Leo Baada ya Mabadiliko ya Ratiba

Baada ya mabadiliko kadhaa ya tarehe na muda, hatimaye mechi ya Azam FC dhidi ya Pamba Jiji katika Ligi Kuu ya NBC itafanyika leo. Awali, mchezo huo ulikuwa umepangwa kufanyika Ijumaa ya Septemba 13, 2024, kisha ukasogezwa kwa siku moja hadi Jumamosi ya Septemba 14, 2024. Hata hivyo, kwa sasa mechi hiyo itapigwa leo.

Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara (TPLB) ilifanya mabadiliko hayo ya ratiba ili kuwapa nafasi wachezaji wa Azam FC waliokuwa kwenye majukumu ya timu zao za taifa kurudi na kujiunga na kikosi katika maandalizi ya mchezo huu muhimu. Sasa, Azam FC itaingia uwanjani ikitarajia kupata matokeo bora dhidi ya Pamba Jiji, huku mashabiki wakisubiri kwa hamu kuona kiwango cha wachezaji waliorejea kutoka majukumu ya kimataifa.

Matokeo ya Mechi ya Azam FC Dhidi ya Pamba Jiji Leo 14/09/2024

14/09/24 LKB Azam 19 : 00 Pamba Jiji
  • MCHEZO: Utaanza saa1:00 Usiku
Matokeo ya Mechi ya Azam FC Dhidi ya Pamba Jiji Leo 14/09/2024
Matokeo ya Mechi ya Azam FC Dhidi ya Pamba Jiji Leo 14/09/2024

Mashabiki wa Azam FC wanatarajia mechi yenye ushindani mkubwa, huku timu hiyo ikipambana kupata alama muhimu katika safari ya kuwania ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC msimu huu.

ANGALIA PIA: