MATOKEO Yanga dhidi ya Dodoma Jiji Leo 10 Aprili 2024

MATOKEO Yanga dhidi ya Dodoma Jiji Leo 10 Aprili 2024, Kikosi Cha yanga vs Dodoma Jiji fc April 10-2024, Matokeo ya yanga leo dhidi ya Dodoma Jiji April 10-2024, yanga vs Dodoma Jiji FC lineups, Matokeo Yanga vs Dodoma Jiji hatua ya 16 Bora CRDB Bank Federation Cup, Young Africans vs Dodoma Jiji.

MATOKEO Yanga dhidi ya Dodoma Jiji Leo 10 Aprili 2024
MATOKEO Yanga dhidi ya Dodoma Jiji Leo 10 Aprili 2024

MABINGWA watetezi, Yanga SC wamewasili jioni ya leo Jijini Dodoma kwa ajili ya mchezo wa hatua ya 16 Bora Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) dhidi ya wenyeji, Dodoma Jiji FC keshokutwa kuanzia Saa 2:00 usiku Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma.

Ikumbukwe Simba SC wamewasili Kigoma mapema leo tayari kwa mchezo wa hatua ya 16 Bora Kombe la TFF dhidi ya wenyeji, Mashujaa FC kesho kuanzia Saa 10:00 jioni Uwanja wa Lake Tanganyika.

Tayari timu sita zimekwishatinga Robo Fainali ambazo ni Azam FC, Singida Black Stars, zamani Ihefu SC, Coastal Union, Namungo FC, Geita Gold na Tabora United.

MATOKEO Yanga dhidi ya Dodoma Jiji Leo 10 Aprili 2024

See also: