Ratiba ya CAF Klabu Bingwa Afrika Leo 15/09/2024

Ratiba ya CAF Klabu Bingwa Afrika Leo 15/09/2024 | Michezo ya TotalEnergies CAF Champions League itarejea kwa kishindo siku ya leo Jumapili, huu ni mzunguko wa pili na wa mwisho wa mchujo kuwania kufuzu hatua ya makundi bara Afrika kwenye mashindano ya CAF Chamipons League/ Ligi ya Mabingwa CAF.

Raundi ya pili ya mchujo, ambayo itachezwa kwa uwanja wa nyumbani na ugenini, inashuhudia vilabu vikubwa barani Afrika vikiingia kwenye mchujo wa kuwania kufuzu kwa hatua ya makundi ya Ligi ya mabingwa Afrika 2024/2025.

Ratiba ya CAF Klabu Bingwa Afrika Leo 15/09/2024

Ligi ya Mabingwa ya CAF 2024/25 inaendelea leo Septemba 15, kwa michezo ya kadhaa ya kuitimisha raundi ya pili ya awali. Mechi zakutupiwa jicho leo Afrika ni pamoja na Gor Mahia ya Kenya dhidi ya wababe wa Misri Al Ahly saa 15:00 UTC, Samartex dhidi ya Raja Casablanca saa 18:00 UTC, na Esperance ikimenyana na Dekedaha saa 19:00 UTC.

Ratiba ya CAF Klabu Bingwa Afrika Leo 15/09/2024
Ratiba ya CAF Klabu Bingwa Afrika Leo 15/09/2024

Al Ahly, ambao wana historia nzuri katika michuano hii, watakuwa na nia ya kutaka kuanza vyema dhidi ya Gor Mahia, huku vilabu vingine kama Raja Casablanca na Esperance vitataka kudhihirisha ubabe katika mechi zao.

Sunday, 15 September

15h00 | Gor Mahia vs Al Ahly

18h00 | Samartex vs Raja CA

19h00 | San Pedro vs Al-Hilal

19h00 | Dekedaha vs ES Tunis

22h00 | Stade d’Abidjan vs Milo FC

ANGALIA PIA: