Ratiba ya Ligi Kuu NBC Tanzania Leo Septemba 17, 2024

Ratiba ya Ligi Kuu NBC Tanzania Leo Septemba 17, 2024 | Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC Tanzania kwa tarehe 17 Septemba 2024 inatoa mwangaza juu ya mechi muhimu zitakazopigwa leo kwenye viwanja mbalimbali nchini.

Mashabiki wa soka wanatarajia burudani kali huku timu zikijaribu kuongeza alama muhimu katika msimamo wa ligi. Mechi hizi zitakuwa na athari kubwa katika safari ya timu kuelekea kutwaa ubingwa wa msimu huu wa 2024/2025.

Ratiba ya Ligi Kuu NBC Tanzania Leo Septemba 17, 2024

Ifuatayo ni Ratiba ya Leo kwa michezo kadhaa ya Ligi Kuu NBC Tanzania kwa siku ya jumanne ya tarehe 17 September msimu huu wa 2024/2025 wa Ligi Kuu Bara.

Ratiba ya Ligi Kuu NBC Tanzania Leo Septemba 17, 2024

Pamba Jiji vs Singida Black Stars — 14:00 Mchana | CCM Kirumba Stadium

Coastal Union vs Namungo FC — 16:15 Jioni | Azam Complex

Ligi Kuu Tanzania Bara leo kuendele hivyo mashabiki wategeme burudani kwenye michezo miwili ya muendelezo wa Ligi kuu ambapo kwa viwanja viwili tofauti vitashuudia muendelezo huo. Uondo wa Ligi kuu NBC bado upo na unadhidi kushika atamu, Je! nani kuchukua nafasi ya juu kwenye msimamo wa Ligi Kuu, baada ya michezo ya Leo.

ANGALIA PIA: