Ratiba ya Ligi Kuu ya Wanawake (TWPL) 2023/2024

Ratiba ya Ligi Kuu ya Wanawake (TWPL) 2023/2024, Miongoni mwa Ligi yenye mvuto sana kwa sasa kutoana na ushindani wa timu zote shiriki. Moja ya timu yenye ushindani kwa misimu tofauti sasa ni Simba Queen licha ya msimu uliopita kutokufanya vyema sana.

Ligi hiyo inatarajiwa kurejea mzunguko wa pili mapema wiki ijayo baada ya mapumziko mafupi, maswali ni nani atafanikiwa kuuvua ubingwa ambao unashikiliwa na JKT Queens mpaka sasa.

Ratiba ya Ligi Kuu ya Wanawake (TWPL) 2023/2024

See also: