Ratiba ya mechi tatu zilizo salia kwenye NBC Championship 2023/24

Ratiba ya mechi tatu zilizo salia kwenye NBC Championship 2023/24

Ratiba ya mechi tatu zilizo salia kwenye NBC Championship 2023/24, Kwenye hizi Round 3 zilizo salia mechi zote zitakuwa zinachezwa siku moja na muda mmoja ili kuepusha upangaji wa matokeo.

Ratiba ya mechi za mzunguko wa ishirini na nane (28, 29 & 20) katika muendelezo wa mechi za ligi ya NBC Championship

Utazishuhudia mechi hizi zote mubashara kupitia Channel yako pendwa ya michezo tv3 katika muonekano Ang’avu kwa lugha Adhimu ya Kiswahili

Ratiba ya mechi tatu zilizo salia kwenye NBC Championship 2023/24

See also: