Ratiba ya Mechi za Leo UEFA 18/09/2024

Ratiba ya Mechi za Leo UEFA 18/09/2024 | Mashindano ya UEFA yanaendelea leo huku timu kubwa za Ulaya zikiwa tayari kuingia uwanjani kwa mechi zenye ushindani mkali.

Hizi ni hatua muhimu kwa timu zinazotafuta nafasi ya kufuzu au kujiimarisha kwenye kundi lao. Mashabiki watakuwa wakishuhudia vituko vya wachezaji bora duniani wakijaribu kuhakikisha ushindi kwa vilabu vyao. Hali ya hamasa ipo juu, huku kila mchezo ukiwa na uzito wake, na matokeo yakitarajiwa kuleta mabadiliko makubwa kwenye msimamo wa makundi.

Ratiba ya mechi za leo UEFA itajumuisha timu zinazotajwa kama mabingwa watarajiwa pamoja na zile zinazopigania nafasi ya kufuzu kwenye hatua zinazofuata.

Ratiba ya Mechi za Leo UEFA 18/09/2024

Zifuatazo ni Ratiba ya Michezo kadhaa ya Ligi ya Mabingwa UEFA kwa siku ya leo jumatano ya tarehe 18 September 2024:-

18/09/2024 17:45 Bologna FC Shakhtar Donetsk
17:45 AC Sparta Praha RB Salzburg
20:00 Manchester City Inter
20:00 Paris Saint-Germain Girona FC
20:00 Club Brugge KV Borussia Dortmund
20:00 Celtic FC Slovan Bratislava

ANGALIA PIA: